Msaada kuhusu NSSF

Msaada kuhusu NSSF

Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku chache sana.
 
Vipi mkuu wameanza kuwalipa siku hizi..?
 
Nijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku chache sana.
Anhaa hapo nimekuelewa

Na je kama status imebadirika na kuwa APPROVED inaweza pita siku tatu au tano bila kuingiziziwa hela kwenye account yangu ?
 
Hongera hata kufika hatua hiyo..watu wanasotea hela zao hadi inaumiza..sijui kwanini binadamu tumekuwa na roho mbaya hivi, mzee wangu kilakitu kimakaa sawa..kila akienda..wanasema iko kwenye approval, mwezi wa nne huu...sijui approval zinaenda mbinguni au wapi.. ndio wanataka kulambwa mkono?

Nyie watu wamifuko ya jamii..embu muogopeni mungu ..kidogo..loh
 
Asante sana

Mimi mwenyewe usione hivi ndugu yangu nimesota kwelikweli yani bado kidogo tu nikate tamaa
 
Back
Top Bottom