Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Anhaa hapo nimekuelewaNijuavyo ni kwamba ukiona akaunti yako inasoma 0.00 kwenye taarifa zako "Statement" hiyo inamaanisha kuwa mtu hiyo amekwisha lipwa stahiki zake, sasa mpaka Fedha ziingie katika akaunti yako itategemea na uharaka wa benki husika kuweka fedha katika akaunti yako, hata hivyo wanasema inachukua siku chache sana.
Unaamaanisha ikiwa APPROVED ndo haizidi siku tatu ?Hpo chap hazizid siku 3
Hongera hata kufika hatua hiyo..watu wanasotea hela zao hadi inaumiza..sijui kwanini binadamu tumekuwa na roho mbaya hivi, mzee wangu kilakitu kimakaa sawa..kila akienda..wanasema iko kwenye approval, mwezi wa nne huu...sijui approval zinaenda mbinguni au wapi.. ndio wanataka kulambwa mkono?Anhaa hapo nimekuelewa
Na je kama status imebadirika na kuwa APPROVED inaweza pita siku tatu au tano bila kuingiziziwa hela kwenye account yangu ?
Asante sanaHongera hata kufika hatua hiyo..watu wanasotea hela zao hadi inaumiza..sijui kwanini binadamu tumekuwa na roho mbaya hivi, mzee wangu kilakitu kimakaa sawa..kila akienda..wanasema iko kwenye approval, mwezi wa nne huu...sijui approval zinaenda mbinguni au wapi.. ndio wanataka kulambwa mkono?
Nyie watu wamifuko ya jamii..embu muogopeni mungu ..kidogo..loh
Siku tatu au nneHabari zenu
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu
Hivi account ya NSSF status kwenye salio ikishasoma 0.00 Tshs huwa inachukua siku ngapi mpaka kulipwa?