Msaada kuhusu NSSF

Joined
Mar 15, 2019
Posts
64
Reaction score
178
Habarini wakuu, niko hapa kuomba msaada kwa yoyote ambaye ana mtu anamfahamu anafanya kazi NSSF anaweza kuniunganisha naye.

Nina maswali mengi nataka kufahamu kabla sijaanza kufuatilia pesa zangu, yeye atakuwa ananisaidia kwenye kila hatua hadi mwisho.

Nawasilisha
 
Kama una pesa ya malipo kwa hayo maswali yako karibu kama huna tafadhali nenda ofisi iliyo karibu nawe.
 
watafute ktk page zao yapo mawasiliano yao au fika ofisini mojakwamoja
 
Wasiliana na afisa utumishi hapo kazini kwako wanajua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…