Gods very own
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 124
- 66
NYWELE BANDIA 150,000??? MUNGU WANGU!!!Inategemea na salon unayoenda kwa mimi ninapoenda kuna moja 120,000/= kila kitu kwao na nyingine 150,000/= napo kila kitu kwao
Yes Jose na mbona kuna nywele bei zaidi ya hiyoNYWELE BANDIA 150,000??? MUNGU WANGU!!!
Mmh basi wanawake kazi mnayo kwa kweliYes Jose na mbona kuna nywele bei zaidi ya hiyo
Hahahahahhaaa no comment joseMmh basi wanawake kazi mnayo kwa kweli
poapoaHahahahahhaaa no comment jose
Hapan mkuu kwa maish gan tulonayo wabongo kwend kusuka 150k and mnasem kawaida???urembo gharama
Mkuu hao kila kiungo chao ni gharama.Mmh basi wanawake kazi mnayo kwa kweli
Mmhhhh hizo ni nywele za kichwani tu zenye bei hio au nywele za mwili mzima?Inategemea na salon unayoenda kwa mimi ninapoenda kuna moja 120,000/= kila kitu kwao na nyingine 150,000/= napo kila kitu kwao
150k ndio si hela ya kuchezea, but kugharamia kitu ukipendacho inaongeza thamani ya hicho kitu.Hapan mkuu kwa maish gan tulonayo wabongo kwend kusuka 150k and mnasem kawaida???
Mbona kuna nywele bei zaidi ya hizo!Mmhhhh hizo ni nywele za kichwani tu zenye bei hio au nywele za mwili mzima?
NYWELE BANDIA 150,000??? MUNGU WANGU!!!
Mmeo ana KaziMbona kuna nywele bei zaidi ya hizo!