Msaada kuhusu nywele za crotchet

Msaada kuhusu nywele za crotchet

Gods very own

Senior Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
124
Reaction score
66
Bei ya nywele za crotchet ni sh ngapi? Normally ina range vipi na bunda ngapi litatosha kwa kawaida, kwa wale ambao mnazisukaga hizi na bei ya kusuka ni 30,000 au wamenichuuza?
 
Inategemea na salon unayoenda kwa mimi ninapoenda kuna moja 120,000/= kila kitu kwao na nyingine 150,000/= napo kila kitu kwao
 
Halafu nashangaa nywele ni 150,000/= halafu wanataka walipiwe....yote
 
Hapan mkuu kwa maish gan tulonayo wabongo kwend kusuka 150k and mnasem kawaida???
150k ndio si hela ya kuchezea, but kugharamia kitu ukipendacho inaongeza thamani ya hicho kitu.
Binafsi sio mfuasi wa nywele bandia na siwezi kumruhusu mpenzi wangu kuzisuka, ishu si gharama ila kutozipenda tu.
Akizitamani afuge zake ziwe ndefu.

NB: usipompendezesha mUpenzi, watampendezesha wengine. Halafu kinachofuata sasa....... !
 
NYWELE BANDIA 150,000??? MUNGU WANGU!!!


Mkuu, [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG],
Nilimsikia Sepenga, akiwa interview sehemu kabla upepo wa sembe haujavumia kwake na kutakiwa kituo cha polisi kati na bado akiwa chama dola akasema nywele kwake ni Tshs 1 m, nguo na viatu na madini (jewelry) jumla kuu Tshs 3m.

Mkuu, Tshs 150,000/= wao wengine wanasema ni bei ya Big G a.k.a JoJo.
 
Back
Top Bottom