Msaada kuhusu nywele za crotchet

Msaada kuhusu nywele za crotchet

Mm ni msusi huwa nawasuka kwa oda, nasuka kwa 45000/= nywele nunua mwenyewe na unafatwa popote ulipo
 
yaan yeye kuuliza ndo ushageuka mtabiri wa ndoa yake ? duh hvi kwann mpo hv !asipendeze jaman !cha! haya wewe mwenye ndoa perfect upo wapi km sio wote tupo humu tu !aolewe asiolewe unamlisha kwani! na nan kakuambia kuolewa ni dili km unavyojidanganya? hujaona huko kuna wanawake hawajaolewa wana status zao nzuri tu !grow up
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom