Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koin-coin nenda bureau de change utapata majibu yote
Ndugu nafikili euros zimeanza tumika 2003 kwa europe
Kuanzia miaka ya 2000 nchi chache za Ulaya kama Ufaransa,Ujerumani zilianza kutumia EUROS,kisha nchi nyingine zilijiunga.
Kwa France nafikili walianza kutumia euro miaka ya 2003
Nina hela Koin ya Euro 50 ya mwaka 2002 je, bado inafanya kazi? kwa mfano nikitaka kuibadili kua hela ya apa tz itakubalika? msaada pliiiz!
Mkuu
Hizi euro zipo tofauti kuazia coins hadi noti ispokuwa thamani ni moja, na hizo euro ukiziangalia utaziona kama zipo sawa lakini tofauti kwa mfano euro ya ufaransa zina symbol zake za nchi, pia Spain, na Republic of Ireland, nimeligundua hilo.
Hata pounds ya Britain pia zipo tofauti kama ya Scotland tofauti na ya England, Lakini zote pounds na thamani hio hio.
Nakushauri hio coins yako piga picha weka hapa watu waone.
Kiongoz hazina tofauti man,sema tu coin umbo ni lile lile kasoro tu kwenye sura ndo kunakuwa na sura tofauti za marais kutokana na mda iliyotoka iyo coin kaka lakin pia upande m1 wa coin zote upo sawa ukiwa umecholwa thaman ya iyo euro na pakiwa na neno euro kwa herufi kubwa na ikiwa na nyota sita juu na nyota sita chini na kuna farasi si farasi lakin ni mdudu kacholwa kaka,na zote zipo ivyo coin iwe ya hispania,France,Ujerumani na nchi pia za Ulaya,sema upande wa pili sasa ndo zipo tofauti kuna sura za marais wa Ulaya au majina ya izo nchi nyingine na majengo kama bank,kwa noti naisi zipo sawa maana hata hapa juz wamebadilisha noti ya 20euro lakin walianza na noti ya 5euro na 10 euro,zote zikiwa na sura ya yule aliyecheza picha ya yesu kama mariam yani mama wa yesu katika île film ndugu,natumaini utakuwa umenielewa
Hivyo ndivyo nilivyo maanisha