Complex JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 4,119 Reaction score 4,779 Jul 1, 2020 #1 Habarini wadau, katikapitapita zangu nimekutana na hii bidhaa kama ionekanavyo pichani. Inaotwa injector cleaner. Zipo za diesel engines na petrol. Je ni kweli hizi injector cleaner zinasafisha nozzels za gari kama zilivyoandikwa katika vifungashio vyake.?
Habarini wadau, katikapitapita zangu nimekutana na hii bidhaa kama ionekanavyo pichani. Inaotwa injector cleaner. Zipo za diesel engines na petrol. Je ni kweli hizi injector cleaner zinasafisha nozzels za gari kama zilivyoandikwa katika vifungashio vyake.?
kingjohn255 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 400 Reaction score 513 Jul 2, 2020 #2 Zinasafisha ila ziwe tu original with high quality