Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Habarini wadau, katikapitapita zangu nimekutana na hii bidhaa kama ionekanavyo pichani. Inaotwa injector cleaner. Zipo za diesel engines na petrol.
Je ni kweli hizi injector cleaner zinasafisha nozzels za gari kama zilivyoandikwa katika vifungashio vyake.?
Je ni kweli hizi injector cleaner zinasafisha nozzels za gari kama zilivyoandikwa katika vifungashio vyake.?