Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
wakikujibu nami nitagHabari
Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonijib
Nipe muongozo kiongoziHii kitu tumesoma juzi class .... Good luck mzee ,
Shukrani sanaHapo utaletewa task tofauti tofauti za linux unatakiwa ufahamu command za kutosha za kufanya activities tofauti tofauti za linux
Linux pekee kk?Hapo utaletewa task tofauti tofauti za linux unatakiwa ufahamu command za kutosha za kufanya activities tofauti tofauti za linux
Jaribu kumuuliza meck pro ana experience nazoLinux pekee kk?