MSAADA , kuhusu Provisional Academic Transcript.

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Naomba kujua kama Transcript huwa zinakua na picture. ??
Nilimalza chuo huko dar es salaam. Na nlpotaka kuhama nlipewa Transcript nzuri lakn haina picture yangu. Ningependa kujua kama zinakubalika wakati wa kuhamia vyuo vingine.
 
Mala nyingi huwa unapokwenda kuchukua transcript unakwenda na picha,wanaibandika then wanagonga mhuri wa moto,kuonyesha kama ni ya kwako Ila itategemea na hicho chuo una chohamia,wanaweza wakaikubali jaribu .
 
Mzumbe watakubali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…