Msaada kuhusu Pugu Sekondari

Msaada kuhusu Pugu Sekondari

Quicklime

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
175
Reaction score
62
Wakuu heshima kwa wote! Tafadhali kuna information's najaza hapa zinanihitaji kujaza physical address ya pugu secondary. Vitu vyenyewe vinavyotakiwa ni tarafa,kata na kijiji. Nimesoma pale ila sikumbuki hivyo vitu na ninajitahidi kitafuta mtandaoni sijapata.....
 
nna mshikaji wangu anasoma pale....ni PM NKUPE #
 
Back
Top Bottom