Quicklime
Senior Member
- Mar 30, 2011
- 175
- 62
Wakuu heshima kwa wote! Tafadhali kuna information's najaza hapa zinanihitaji kujaza physical address ya pugu secondary. Vitu vyenyewe vinavyotakiwa ni tarafa,kata na kijiji. Nimesoma pale ila sikumbuki hivyo vitu na ninajitahidi kitafuta mtandaoni sijapata.....