Hizo Tv za hiyo kampuni ukishakaaa nayo baada ya muda inaanza kupoteza ubora.
Type ushuhuda mkuu!Hizo Tv za hiyo kampuni ukishakaaa nayo baada ya muda inaanza kupoteza ubora.
Hivi mkuu ubora wa TV huwa unapimwa kwa kitu gani?Ngumu sana hio, si ufanye mwenyewe calibration mpaka macho yako yatapovutiwa?
Kikubwa kabisa quality ya kioo, mengine ni ziada tu.Hivi mkuu ubora wa TV huwa unapimwa kwa kitu gani?
Shukrani mkuu.Vipi kuhusu yale mambo ya refreshing rate?Kikubwa kabisa quality ya kioo, mengine ni ziada tu.
Una Angalia
-tech ya kioo kama ni led, lcd, plasma, Qled, oled, mini led, micro led etc
-resolution ya kioo kama ni HD, full HD, 4k, 8k etc
-tech za ziada kama HDR 10, HDR ya kawaida, Dolby vision etc.
Si muhimu sana kwa TV za nyumbani,Shukrani mkuu.Vipi kuhusu yale mambo ya refreshing rate?
Mkuu inapimwa na macho yako,mfano brightess inatofautiana na uwezo wa mtu kuona, mwingine huona vyema kwenye mwanga hafifu,mwingine mkaliHakuna mdau aliejib vizuri hii ishu maana hata mm nina tatz hili nilitamami saana nipate msaada hapa.