Msaada kuhusu refund App ya HESLB

Msaada kuhusu refund App ya HESLB

raiswenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
848
Reaction score
1,535
Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit,

Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia hairespond.

Naomba msaada kwa yoyote anayejua namna ya kutatua hili.
 
Kuna watu watatetea uzembe wa aina hii.
Ulitakiwa kuhakiki taarifa zako kabla ya kutuma.
 
Back
Top Bottom