Hujaza Kibaba
Member
- Sep 5, 2019
- 59
- 75
Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo
Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550)
Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W
Serial no : 001EGVJML759
Manufactured January 2020
Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia simu ya android ambayo inasupport Chromecast na huwa naconnect direct kwa Tv kama TCL lakini kwa Tv kama Hisense na Mewe huwa natumia app inaitwa 'All mirror - screen mirroring' bila changamoto ila leo kwenye hiyo Tv ya LG zoezi limegonga mwamba nimejaribu sana bila mafanikio, nahitaji msaada wenu wajuzi