Msaada kuhusu sheria mpya za TCRA

Msaada kuhusu sheria mpya za TCRA

Prince Luanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
2,255
Reaction score
2,825
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa kama youtube channel inahusika na kusajiliwa ili itambulike TCRA kwa sababu nimeitafuta application form kwenye website yao lakini sikufanikiwa.

Asanteni.
 
Mods naomba muuhamishie huu uzi unapohusika nimepost humu kwa bahati mbaya
 
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa kama youtube channel inahusika na kusajiliwa ili itambulike TCRA kwa sababu nimeitafuta application form kwenye website yao lakini sikufanikiwa.
Asanteni.
NENDA MAKAO MAKUU YA TCRA
 
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa kama youtube channel inahusika na kusajiliwa ili itambulike TCRA kwa sababu nimeitafuta application form kwenye website yao lakini sikufanikiwa.
Asanteni.
Shida! Wataalam wqkiitupia hapa itatusaidia sote
 
Back
Top Bottom