MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
Habari wa kuu natumaini ni wazima wa afya kabisa,
nikienda kwenye mada moja kwa moja ni hivi, kuna jirani yetu hapa bwana ni kijana kamaliza 4m4 mwaka jana,sasa katika harakati za maisha amefungua kisehemu chake kidogo sana cha kumuingizia pesa mbili tatu.
kijana ana tv moja na ps2 moja ndo ana chezesha, na wateja wake wakubwa ni watoto wa hapo mtaani. sasa basi kama unavyo jua tena majirani zetu wamefanya hujuma wameenda kwa mwenye kiti wa mataa na kuripoti na mwy kiti akamuomba kijana kibali nikiwa na maana ya leseni kiukweli jamaa ameshindwa kujibu kwakuwa hata ps2 yenyewe ni iko kwenye kibanda kidogo tu. hivyo basi wame mlazimu kwenda kuchukua kibali na wamemuambia kuwa ni lazima aende TRA na wanadai kuwa ile ni kamari na hairuhusiwi hata kidogo. dogo anaomba ushauri kaja kwangu nimeshindwa kujibu hata swali moja nikasema ngoja nije kwa wadau. JE GAME CENTER KAMA HIYO INA HITAJI KIBALI?
swali?
sheria ya kibali cha kufungua game center ndgo kama hiyo iko?
kama ndio kibali chake kinachukuliwa wapi na gharama?