Msaada kuhusu sheria ya kufungua game center (ps2)

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari wa kuu natumaini ni wazima wa afya kabisa,
nikienda kwenye mada moja kwa moja ni hivi, kuna jirani yetu hapa bwana ni kijana kamaliza 4m4 mwaka jana,sasa katika harakati za maisha amefungua kisehemu chake kidogo sana cha kumuingizia pesa mbili tatu.
kijana ana tv moja na ps2 moja ndo ana chezesha, na wateja wake wakubwa ni watoto wa hapo mtaani. sasa basi kama unavyo jua tena majirani zetu wamefanya hujuma wameenda kwa mwenye kiti wa mataa na kuripoti na mwy kiti akamuomba kijana kibali nikiwa na maana ya leseni kiukweli jamaa ameshindwa kujibu kwakuwa hata ps2 yenyewe ni iko kwenye kibanda kidogo tu. hivyo basi wame mlazimu kwenda kuchukua kibali na wamemuambia kuwa ni lazima aende TRA na wanadai kuwa ile ni kamari na hairuhusiwi hata kidogo. dogo anaomba ushauri kaja kwangu nimeshindwa kujibu hata swali moja nikasema ngoja nije kwa wadau. JE GAME CENTER KAMA HIYO INA HITAJI KIBALI?

swali?
sheria ya kibali cha kufungua game center ndgo kama hiyo iko?
kama ndio kibali chake kinachukuliwa wapi na gharama?
 
PS2 unazingua mkuu. Fungua PS4&5.

Kuhusu sheria sizipati zote. Ila nielewavyo kuwachezesha watoto muda mrefu ni kinyume cha sheria.
 
SIO MIMI KUMBUKA ILA DOGO NDO KAANZA NA PS2 KWANZA
 
Hakuna cha kibali wala nini. Mbona wauza magenge hawana vibali vya TRA. Yani hata PS ya mia mbili mbili ulipie kodi?

Hao wana chuki binafsi tu, cha msingi kuweni makauzu kama sehemu ni yenu hamna anaeweza kuwaingilia na hata akija mwenyekiti mpige ndosi ya shingo.

Kwani hao watoto zao huwa unaenda kuwaita kwao waje kwenye PS yako?

Kila mzazi apambane na mwanae bwana hii dunia ya sasa hakuna kumtizamana mtu usoni.

Yani kama ni mimi na huyo mwenyekiti akija kichwa kichwa nampa ndosi zakutosha hata nikilala sero najua nitatoka ila heshima itakuwepo.
 
KWELII MKUU
 
Kuhusu kibali kwa biashara inayoanza kama hiyo hapana ila mwambie tu dogo aweke utaratibu wa kuchezesha baada ya muda wa shule maana mojawapo ya vikwazo ni kukosesha wanafunzi masomo kwa kuchezesha nyakati za masomo na wanafunzi wakiwemo.

#DG
 
Sio jirani Wala nini.. Ni ww huyu ndo umefungua. (JIFUNZE KUWA MKWELI)
 
Nilifungua jamaa walinisumbua sana,,,, hasa wazazi wanalalamika watoto wanaiba hela kwao,,,, mwishowe nilikuja kufunga tu
 
Hizo changamoto zipo ila ukikata Leseni na kulipia TRA ni biashara halali.

hao watoto waache watoke shule.

Mimi mwenyekiti aliwahi kuniletea Ujinga Huo tulichukuliana Poa nilitaka kumsukumia ndani hadi Leo ananiogopa, anapita mbali Sana na mm.

huwezi ukawa na leseni halali halafu mpumbavu mmoja analeta Ujinga...

wazazi nao huwa hawajielewi unamkataza mtoto game mtoto anaenda mbali zaidi kucheza...........!
 
Habari wa kuu natumaini ni wazima wa afya kabisa,
nikienda kwenye mada moja kwa moja ni hivi, kuna jirani yetu hapa bwana ni kijana kamaliza 4m4 mwaka jana,sasa katika harakati za maisha amefungua kisehemu chake kidogo sana cha kumuingizia pesa mbili tatu.
kijana ana tv moja na ps2 moja ndo ana chezesha, na wateja wake wakubwa ni watoto wa hapo mtaani. sasa basi kama unavyo jua tena majirani zetu wamefanya hujuma wameenda kwa mwenye kiti wa mataa na kuripoti na mwy kiti akamuomba kijana kibali nikiwa na maana ya leseni kiukweli jamaa ameshindwa kujibu kwakuwa hata ps2 yenyewe ni iko kwenye kibanda kidogo tu. hivyo basi wame mlazimu kwenda kuchukua kibali na wamemuambia kuwa ni lazima aende TRA na wanadai kuwa ile ni kamari na hairuhusiwi hata kidogo. dogo anaomba ushauri kaja kwangu nimeshindwa kujibu hata swali moja nikasema ngoja nije kwa wadau. JE GAME CENTER KAMA HIYO INA HITAJI KIBALI?

swali?
sheria ya kibali cha kufungua game center ndgo kama hiyo iko?
kama ndio kibali chake kinachukuliwa wapi na gharama?
Kusema kwamba ni kamari hiyo si sawa...
 
Hakuna cha kibali wala nini. Mbona wauza magenge hawana vibali vya TRA. Yani hata PS ya mia mbili mbili ulipie kodi?

Hao wana chuki binafsi tu, cha msingi kuweni makauzu kama sehemu ni yenu hamna anaeweza kuwaingilia na hata akija mwenyekiti mpige ndosi ya shingo.

Kwani hao watoto zao huwa unaenda kuwaita kwao waje kwenye PS yako?

Kila mzazi apambane na mwanae bwana hii dunia ya sasa hakuna kumtizamana mtu usoni.

Yani kama ni mimi na huyo mwenyekiti akija kichwa kichwa nampa ndosi zakutosha hata nikilala sero najua nitatoka ila heshima itakuwepo.
Hahaha Tisha sana Chalii ya Ara!!
 
Hizo changamoto zipo ila ukikata Leseni na kulipia TRA ni biashara halali.

hao watoto waache watoke shule.

Mimi mwenyekiti aliwahi kuniletea Ujinga Huo tulichukuliana Poa nilitaka kumsukumia ndani hadi Leo ananiogopa, anapita mbali Sana na mm.

huwezi ukawa na leseni halali halafu mpumbavu mmoja analeta Ujinga...

wazazi nao huwa hawajielewi unamkataza mtoto game mtoto anaenda mbali zaidi kucheza...........!
mkuu kwani ukienda TRA una waelezaje sasa maana ps yenyewe ni moja tu. na sio kwenye fremu, kwani wewe ulipewa leseni au. na ulilipia mapato
 
Back
Top Bottom