Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mim nafikiri unatakiwa kwenda china walau mara moja au mbili ukishawajua "supplier" wako hapo ndio inakuwa rahis hata kuwapigia na kufanya order na kuelekeza wapeleke mzigo wako kwa hao silent ocean kwa ajili ya kusafirisha.Wana JF.
Najua naweza pata msaada hapa. Naomba kwa mwenye uelewa wa namna hawa Silent Ocean wanavyofanya kazi.
Je, wanaweza kunisafirishia mzigo kutoka China bila mimi kwenda huko?
Asante wote mtakao nisaidia katika hili.
Bora hata wewe unatia moyoNdiyo inawezekana..unachotakiwa ni kuwapa address za supplier wako .