IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,551
- 2,695
Ok inaweza kuathiri chochote maana kweli nimeangalia time wamezilunch ni muda Sana na Bei zake ndio izo izo kasoro ni iyo Nova 3i 290k wanauza japo nimecheki gsm arena watu baadhi wame ongelea betri Nova 3i Sasa Sina uhakika labda matumizsimu zote za mda sana mkuu, assume zipo condition moja nova 3i ni nzuri zaidi. na hakuna simu yenye thamani zaidi ya 250k kwa hizo ulizolist.
hutapata updates na kama ni used pengine zimechoka mkuu, hio 3i si mbaya mkuu kwa mishe mishe za kawaida itafanya. na battery ndio ni dogo hasa kwa simu ya 6.3 inches.Ok inaweza kuathiri chochote maana kweli nimeangalia time wamezilunch ni muda Sana na Bei zake ndio izo izo kasoro ni iyo Nova 3i 290k wanauza japo nimecheki gsm arena watu baadhi wame ongelea betri Nova 3i Sasa Sina uhakika labda matumiz
Asante nduguhutapata updates na kama ni used pengine zimechoka mkuu, hio 3i si mbaya mkuu kwa mishe mishe za kawaida itafanya. na battery ndio ni dogo hasa kwa simu ya 6.3 inches.
Bado unatumia tecno ulimwengu huu..ztafuta sm mkuu hata ka oppo, Huawei, Samsung kale ka bei chin hizo tecno mtaan zmeaza kuadmika kabsa watu Ordinary wapo infixShida ya tecno kujaa storage space ata baada ya kufuta vitu ni nn na inatatuliwa vipi Kwa waliokutana na changamoto hii