Msaada kuhusu Songe Sekondari

ipo mtaani hapa napokaa, siku hz wanamabomba ya maji siwaoni tena wakizunga mtaani kutafuta maji, huwa wanatoka sanasana kwenda msikitini tu, ni shule nzuri ingawa changamoto kwa shule za govt haziwezikuisha, ufaulu unaridhisha ipo manispaa, Karibuni
 
songe ipo manispaa ya msoma mkoani Mara..co shule changa n kongwe...
 
yap iko manispaa ya musoma mjini mtaa wa songambele ndipo ilipo na swala la msuri na competition iko juu mkuu ni single sex ni waschana tuuu nyuz zao ni blue bahari
 
hata mm mdogo kachaguliwa iyo shule bt hata siijui wala na wala siwashauri m2 ampeleke mdgo wake labda iwe sbb ya kifedha maana gov skul r cheaper....

Sas km hauijui utatoaj ushaur wa kuwakataz wa2 wacpelek watot wao?
 
shule ni mtoto mwenyew na gov schools ndo mpango mzam kam utapelek mtot wko prvte huyo ni kilaza anatafuniwa mpeleke kam aja pata 0
 
ipo mtaani hapa napokaa, siku hz wanamabomba ya maji siwaoni tena wakizunga mtaani kutafuta maji, huwa wanatoka sanasana kwenda msikitini tu, ni shule nzuri ingawa changamoto kwa shule za govt haziwezikuisha, ufaulu unaridhisha ipo manispaa, Karibuni

thedaydreamer
Tusaidie namna kupata joining instruction form ya shule ya Songe au contacts(no. ya simu).
 
Last edited by a moderator:
Mlete mdogo wako tutampokea vzr maana j'tatu 2naanza field na vijana wa kazi kutoka UDOM tutakuwa hapo SONGE kwa muda wa takirban two months. Tunashukuru kwa kutuongezea TEACHING ALLOWANCE (TA)
 
sasa hivi wapo likizo sijui kama kuna mwalimu atakuwepo pale, ila nitajaribu kupita niulizie.

Nakuomba upite hapo tunahitaji msaada wako. Tupo mbali na fomu ya kujiunga inaweza kuchelewa.
 
sijajua upo wapi manake wanasema kuna utaratibu wanao kama kwa wanaotoka arusha wanaenda usa river kwa veronica zackaria, kama haupo hapo muulizie mwenye hii namba 0754206115 ni mwl hapo alienielekeza hivyo.
 
jamani wadua wa JF santeniiii coz tumezunguka kutafuta form tumekosa ata kwenye web yao hamna duuuuuuh ni noumer xna
 
sijajua upo wapi manake wanasema kuna utaratibu wanao kama kwa wanaotoka arusha wanaenda usa river kwa veronica zackaria, kama haupo hapo muulizie mwenye hii namba 0754206115 ni mwl hapo alienielekeza hivyo.

Asante ngoja niwasiliane nae
 
sijajua upo wapi manake wanasema kuna utaratibu wanao kama kwa wanaotoka arusha wanaenda usa river kwa veronica zackaria, kama haupo hapo muulizie mwenye hii namba 0754206115 ni mwl hapo alienielekeza hivyo.
Asante sana kwa msaada wako nimefanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…