PAUL M LUCAS
Member
- Sep 2, 2014
- 12
- 0
Warmly welcome to sjut
Ni chuo chenye maadili ya dini,vision yao ni"To be a centre of excellence for developing humankind holistically to learn to serve maadili na kuwa na hofu ya Mungu pia kujifunza kutumikia wengine ndo vipau mbele,hivyo kama unaimani thabati utafurahia chuo kwa kuwa mwadilifu. Vinginevyo itakua kinyume chake endapo utategemea nguvu zako bila msaada wa Mungu. Karibu sana na Mungu akubariki kuelekea kutimiza ndoto zako kupitia SJUT kwan "YOTE YAWEZEKANA KWA IMANI"Naomba yeyote aliyesoma au anayesoma St John University dodoma anipe hints za chuo
ahsanteni.