Msaada kuhusu St. John's University

Msaada kuhusu St. John's University

PAUL M LUCAS

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
12
Reaction score
0
Naomba yeyote aliyesoma au anayesoma St John University dodoma anipe hints za chuo
ahsanteni.
 
..kipo eneo linaloitwa kikuyu ukifika,km chache almost 3 kutoka dodoma mjini.ukifika stand ya mabasi ya jamatin panda daladala zinazoelekea nkonze..chuo kina hostel chache sana ivyo wengi tunapanga mitaani kuanzia 40elfu rum1 per month..maji yapo..chuo kina elimu nzuri na ni ngumu ivyo ukijisahau kidogo tu disco itakuhusu..kama umechaguliwq hapo hongera..majengo ya chuo tu ndio yatakukatisha tamaa kwn ni yaleyale ya mazengo sec enzi zile.
 
Afu isitoshe huendi chuo kikuu kuangalia majengo bali unaenda kusoma zako zen upite zako ukiwa na gpa nzuri itakayokuwezesha kupata ajira.
 
Afu kama umezoea uzururaji badala ya kusoma, kwa pale lazima utateseka sana coz ni msuli mwanzo mwisho...yaani hakuna kupoteza muda hovyo kama pale udsm.
 
Naomba yeyote aliyesoma au anayesoma St John University dodoma anipe hints za chuo
ahsanteni.
Ni chuo chenye maadili ya dini,vision yao ni"To be a centre of excellence for developing humankind holistically to learn to serve” maadili na kuwa na hofu ya Mungu pia kujifunza kutumikia wengine ndo vipau mbele,hivyo kama unaimani thabati utafurahia chuo kwa kuwa mwadilifu. Vinginevyo itakua kinyume chake endapo utategemea nguvu zako bila msaada wa Mungu. Karibu sana na Mungu akubariki kuelekea kutimiza ndoto zako kupitia SJUT kwan "YOTE YAWEZEKANA KWA IMANI"
 
Ahsante sana wote mlioweza kunipa taswira ya SJUT
ahsante sana nitakaribia.
 
Back
Top Bottom