Habari wana jf,
Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada.
Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO.
Nimejaribu kutafuta address zao kwenye website nimepata namba ambazo hazitumiki kwa Sasa.
Naomba Kuwasilisha, Natanguliza shukrani.