PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.