Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima.

Msaada tafadhali.

Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana.

Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
 
Submitted ni matokeo Yako yameshatumwa na chuo NACTE ila Bado hayajawa confirmed na NACTE

Na confirmed ni kua matokeo Yako yalishatumwa NACTE na yakawaconfimed

Hayo ndo majibu sahihi hapo
 
Kwa uelewa wangu, Confirmed ni wale walioomba vyuo kupitia Nacte moja kwa moja na Submitted ni wale waliiomba vyuo kupitia vyuoni moja kwa moja. [emoji419]
Nacte wanafanya central admission system (CAS) ..vyuo vingi vilivyochini ya nacte hasa vya serikali havifanyi maombi direct chuoni isipokuwa mtu anaomba kupitia nacte direct na kupangiwa hivo point yako ni invalid
 
Submitted ni matokeo Yako yameshatumwa na chuo NACTE ila Bado hayajawa confirmed na NACTE

Na confirmed ni kua matokeo Yako yalishatumwa NACTE na yakawaconfimed

Hayo ndo majibu sahihi hapo
Hapa cha kujiuliza ili matokeo yawe confirmed ni criteria gani zinatumika la sivyo walio andikiwa submitted wana shida mahali let's say mtihani ulivuja ? ..we are missing a point here ..look closer
 
Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima.

Msaada tafadhali.

Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana.

Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
Matokeo yanapotumwa kwenda nacte ndo inaitwa "submitt" nacte wakiyaona na kuyapokea na kujihakikishia yatasomeka "Confirmed" ivo bas kuwa submitted ni jambo moja lkn kuwa confirmed jambo lingine pia,inawezekana chuo kikatuma matokeo yako lkn nacte wasiyafuatilie either mapungufu au uzembe wa nacte lkn pindi tu wakiyahakiki yanabadilka na kuwa "confirmed"
 
Hapa cha kujiuliza ili matokeo yawe confirmed ni criteria gani zinatumika la sivyo walio andikiwa submitted wana shida mahali let's say mtihani ulivuja ? ..we are missing a point here ..look closer
matokeo kua confirmed ni NACTE kuyapitia na kuyaona yapo sawa kwa Sabubu matokeo hutumwa kwa njia mbili soft copy na hard copy so il yaww confirmed ni NACTE wayaone yapo sawa sawa upande wa soft copy ambayo huwa chuo wanasubmit kwenye mfumo na hard copy wanayopeleka NACTE so sio kazi ndogo kupitia matokeo na huyapitisha so ni kawaida tu kukuta mwingine status inasoma submit na mwingine confirmed ila Mwisho wa siku yatakua sawa ila kwa mtu aliyesup chuo huwa hawatumi matokeo mpka afanye sup akienda kwenye account NACTE anakuta tu not submitted hicho nachokueleza ndo uhalisia wa mambo
 
Nactvet wahuni,wanatakiwa kutuma matokeo vyuoni.
Muhula unaanza trh 17 lakini hadi leo wazazi hawajui matokeo.Ukipeleka mtoto chuo unatakiwa kulipia ada na michango mingine,unamaliza kulipa unaambiwa mtoto amefeli.
Huu ni wizi na ninahisi vyuo vinashirikiana na hili baraza kutapeli watu.
Kwa nini wanategeshea wanafunzi waripoti kwanza,walipe ada ndipo watoe matokeo?
 
matokeo kua confirmed ni NACTE kuyapitia na kuyaona yapo sawa kwa Sabubu matokeo hutumwa kwa njia mbili soft copy na hard copy so il yaww confirmed ni NACTE wayaone yapo sawa sawa upande wa soft copy ambayo huwa chuo wanasubmit kwenye mfumo na hard copy wanayopeleka NACTE so sio kazi ndogo kupitia matokeo na huyapitisha so ni kawaida tu kukuta mwingine status inasoma submit na mwingine confirmed ila Mwisho wa siku yatakua sawa ila kwa mtu aliyesup chuo huwa hawatumi matokeo mpka afanye sup akienda kwenye account NACTE anakuta tu not submitted hicho nachokueleza ndo uhalisia wa mambo
Na uki sup muda huu unatakiwa uandikiwaje kama bado hujafanya mtihani wa sup
 
yeah unacho sema ni sahihi sababu kuna rafiki angu ali angalia siku za nyuma ilikuwa submitted ila jana kaangalia amekuta imebadilika so it means still wapo kwenye progresse pia kuna mwengine ali andikiwa confirmed after some days ika badilika na kuwa submitted pia kama sie chuoni wanafunzi wote wapo submitted ko verification still yafanyika ko kinacho itajika ni subra
chuo gan kaka
 
Submitted ni matokeo Yako yameshatumwa na chuo NACTE ila Bado hayajawa confirmed na NACTE

Na confirmed ni kua matokeo Yako yalishatumwa NACTE na yakawaconfimed

Hayo ndo majibu sahihi hapo
Kutokana uzoefu uliokuwepo hili ndo jibu sahihi hasa mkiwa wa chuo kimoja afu ukakuta wenzio confirmed na wewe Submitted ina maana wewe kuna jambo halipo sawa kutokana na mfumo wa sasa ulivyo..zamani kama ulikua na supp basi uliandikiwa kabisa ila kwa sasa ipo tofauti,hivyo ukiwa submitted jipange kisaikolojia either supp,repeat module au disco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sidhani, ukipita wanaandika Pass, sasa hiyo ya kwako sijui...may be

Hiyo kwenye matokeo ya kubandikwa kama ni chuo ila ukija kwenye website ya NACTE alichosema jamaa ni sahihi

CONFIRMED means Pass
SUBMITTED upo Sup Au RM
 
Kwa hyo hapo Ni kuwa confirmed umefaulu. Na aliyedisco kabisa atakuwa ameandikiwaje.?

anaandikiwa SUBMITTED
Ipo hv SUBMITTED means unachangamoto kwenye mitihan yako after NACTE kuchek inaweza kuwa sup, RM, Disco, Incom… etc
 
EXACTLY, BIG TRUE [emoji736]
Nisaidie kwa hili, it seems unayajua haya mambo: Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?
 
Hiyo kwenye matokeo ya kubandikwa kama ni chuo ila ukija kwenye website ya NACTE alichosema jamaa ni sahihi

CONFIRMED means Pass
SUBMITTED upo Sup Au RM
Vipi wakiandika PENDING?
 
Back
Top Bottom