kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Ndo ukwel ulivyo AuKwa uelewa wangu, Confirmed ni wale walioomba vyuo kupitia Nacte moja kwa moja na Submitted ni wale waliiomba vyuo kupitia vyuoni moja kwa moja. [emoji419]
Nacte wanafanya central admission system (CAS) ..vyuo vingi vilivyochini ya nacte hasa vya serikali havifanyi maombi direct chuoni isipokuwa mtu anaomba kupitia nacte direct na kupangiwa hivo point yako ni invalidKwa uelewa wangu, Confirmed ni wale walioomba vyuo kupitia Nacte moja kwa moja na Submitted ni wale waliiomba vyuo kupitia vyuoni moja kwa moja. [emoji419]
Hii ipo kimatokeo zaidi na ni mwisho was semester ndo zinatumika hizo criteriaKwa hyo hapo Ni kuwa confirmed umefaulu. Na aliyedisco kabisa atakuwa ameandikiwaje.?
Sio kweliNdo ukwel ulivyo Au
Hapa cha kujiuliza ili matokeo yawe confirmed ni criteria gani zinatumika la sivyo walio andikiwa submitted wana shida mahali let's say mtihani ulivuja ? ..we are missing a point here ..look closerSubmitted ni matokeo Yako yameshatumwa na chuo NACTE ila Bado hayajawa confirmed na NACTE
Na confirmed ni kua matokeo Yako yalishatumwa NACTE na yakawaconfimed
Hayo ndo majibu sahihi hapo
Matokeo yanapotumwa kwenda nacte ndo inaitwa "submitt" nacte wakiyaona na kuyapokea na kujihakikishia yatasomeka "Confirmed" ivo bas kuwa submitted ni jambo moja lkn kuwa confirmed jambo lingine pia,inawezekana chuo kikatuma matokeo yako lkn nacte wasiyafuatilie either mapungufu au uzembe wa nacte lkn pindi tu wakiyahakiki yanabadilka na kuwa "confirmed"Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima.
Msaada tafadhali.
Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana.
Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
matokeo kua confirmed ni NACTE kuyapitia na kuyaona yapo sawa kwa Sabubu matokeo hutumwa kwa njia mbili soft copy na hard copy so il yaww confirmed ni NACTE wayaone yapo sawa sawa upande wa soft copy ambayo huwa chuo wanasubmit kwenye mfumo na hard copy wanayopeleka NACTE so sio kazi ndogo kupitia matokeo na huyapitisha so ni kawaida tu kukuta mwingine status inasoma submit na mwingine confirmed ila Mwisho wa siku yatakua sawa ila kwa mtu aliyesup chuo huwa hawatumi matokeo mpka afanye sup akienda kwenye account NACTE anakuta tu not submitted hicho nachokueleza ndo uhalisia wa mamboHapa cha kujiuliza ili matokeo yawe confirmed ni criteria gani zinatumika la sivyo walio andikiwa submitted wana shida mahali let's say mtihani ulivuja ? ..we are missing a point here ..look closer
Na uki sup muda huu unatakiwa uandikiwaje kama bado hujafanya mtihani wa supmatokeo kua confirmed ni NACTE kuyapitia na kuyaona yapo sawa kwa Sabubu matokeo hutumwa kwa njia mbili soft copy na hard copy so il yaww confirmed ni NACTE wayaone yapo sawa sawa upande wa soft copy ambayo huwa chuo wanasubmit kwenye mfumo na hard copy wanayopeleka NACTE so sio kazi ndogo kupitia matokeo na huyapitisha so ni kawaida tu kukuta mwingine status inasoma submit na mwingine confirmed ila Mwisho wa siku yatakua sawa ila kwa mtu aliyesup chuo huwa hawatumi matokeo mpka afanye sup akienda kwenye account NACTE anakuta tu not submitted hicho nachokueleza ndo uhalisia wa mambo
chuo gan kakayeah unacho sema ni sahihi sababu kuna rafiki angu ali angalia siku za nyuma ilikuwa submitted ila jana kaangalia amekuta imebadilika so it means still wapo kwenye progresse pia kuna mwengine ali andikiwa confirmed after some days ika badilika na kuwa submitted pia kama sie chuoni wanafunzi wote wapo submitted ko verification still yafanyika ko kinacho itajika ni subra
City collegechuo gan kaka
Yuko sahihisidhani, ukipita wanaandika Pass, sasa hiyo ya kwako sijui...may be
Kutokana uzoefu uliokuwepo hili ndo jibu sahihi hasa mkiwa wa chuo kimoja afu ukakuta wenzio confirmed na wewe Submitted ina maana wewe kuna jambo halipo sawa kutokana na mfumo wa sasa ulivyo..zamani kama ulikua na supp basi uliandikiwa kabisa ila kwa sasa ipo tofauti,hivyo ukiwa submitted jipange kisaikolojia either supp,repeat module au discoSubmitted ni matokeo Yako yameshatumwa na chuo NACTE ila Bado hayajawa confirmed na NACTE
Na confirmed ni kua matokeo Yako yalishatumwa NACTE na yakawaconfimed
Hayo ndo majibu sahihi hapo
sidhani, ukipita wanaandika Pass, sasa hiyo ya kwako sijui...may be
Kwa hyo hapo Ni kuwa confirmed umefaulu. Na aliyedisco kabisa atakuwa ameandikiwaje.?
Nisaidie kwa hili, it seems unayajua haya mambo: Hivi mwanafunzi wa NACTE, akimaliza mwaka wa kwanza akapasi na kwenda mwaka wa pili. Mwaka wa pili aka disco, je naweza kumwamisha nikampeleka chuo kingine akaanza mwaka wa pili tena baada ya kuhamisha taarifa zake za mwaka wa kwanza? Utaratibu huu upo?EXACTLY, BIG TRUE [emoji736]
Vipi wakiandika PENDING?Hiyo kwenye matokeo ya kubandikwa kama ni chuo ila ukija kwenye website ya NACTE alichosema jamaa ni sahihi
CONFIRMED means Pass
SUBMITTED upo Sup Au RM