THE RIGHT
Member
- Jan 2, 2012
- 57
- 3
Naomba kusaidiwa mlolongo na taratibu za uhamisho kwa shule za a-level, nina Dogo anasoma tarakea kidato cha tano lakini mazingira ya baridi yamemshinda na ninatarajia kufanya taratibu za kumhamisha ila sifahamu pa kuanzia. Na tumaini msaada wako ni wa mhimu sana kwangu.