Msaada kuhusu tatizo la mafua

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Nina mdogo wangu anasumbuliwa na flue kila siku, mpaka anatilisha huruma. Yani alikua hamalizi wiki. lakini hivi sasa imekua too much kabisa. yani ni mwezi mzima nonstop. leo akiwa afadhali siku ya pili yamemuangusha.
 
Hili tatizo hata mm ninalo hadi nimezoea
 
Umepima HIV mkuu... Mafua ni moja ya dalili za mwanzo za HIV ...ni response ya immunity katika kupambana na virus... Usisahau Kucheki na HIV
 
Umepima HIV mkuu... Mafua ni moja ya dalili za mwanzo za HIV ...ni response ya immunity katika kupambana na virus... Usisahau Kucheki na HIV
Mmh umenishitua mkuu dada wangu wa kazi toka mwaka huu uanze anaumwa mafua haponi yaani akipumzika wiki au wiki 2 yaani nonstop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…