Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani inasumbua kinyama aisehhHili tatizo hata mm ninalo hadi nimezoea
Kwa maisha hata red meat uitoe wapiAache kula red meat, dairy products na mahindi mabichi. Ale matunda hasa yenye vitamin C kwa wingi.
Kwa baadhi ya watu hivyo nilivyotaja hapo juu vina activate mucus production.
Yaani inasumbua kinyama aisehh
Mmh umenishitua mkuu dada wangu wa kazi toka mwaka huu uanze anaumwa mafua haponi yaani akipumzika wiki au wiki 2 yaani nonstopUmepima HIV mkuu... Mafua ni moja ya dalili za mwanzo za HIV ...ni response ya immunity katika kupambana na virus... Usisahau Kucheki na HIV
Anywe juice ya limao glass 1 asubuhi na moja jioni kwa siku 3 ikiwa yataendelea akamuone daktari WA BINGWA WA KOO,PUA NA MASIKIO ktk hospitali za serikali za mkoa au wilayaYaani inasumbua kinyama aisehh