Msaada kuhusu TCU na NACTE

Msaada kuhusu TCU na NACTE

MISAPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
68
Reaction score
34
Habari zenu wanajf
naomba mwenye kujua hili anieleweshe ni hivi:
Nina mdogo wangu amepanga kuunganisha kusoma degree mwaka huu,yeye amemaliza diploma mwezi wa saba matokeo yao yanategemea kutoka wiki iyayo sasa alitegemea kuaply kupitia tcu(cas) na deadline mwezi wa 8 tarehe 15,lakin tumepata sitofahamu nacte deadline tarehe 18 mwezi 7 inamaana ijumaa
napenda kujua
1.yeye anapaswa kuaply kupitia nacte au tcu?
2.je na kama wanategemeana mbona tacte wanawahi kufunga application?
3.anaweza kusubili matokeao yake then akaaply tcu ambapo deadline itakuwa bado?
Msaada mwenye kufahamu hili tafadhari
 
usihofu aombe kutumia tcu na hata form six wa 2015 wataomba kupitia tcu baada ya matokeo hivyo usihofu we matokeo yakitoka omba kupitia tcu
 
usidanganyike anatakiwa kuomba kupitia nacte,endapo alifaulu form six atumie TCU otherwise wata mreject
 
Habari zenu wanajf
naomba mwenye kujua hili anieleweshe ni hivi:
Nina mdogo wangu amepanga kuunganisha kusoma degree mwaka huu,yeye amemaliza diploma mwezi wa saba matokeo yao yanategemea kutoka wiki iyayo sasa alitegemea kuaply kupitia tcu(cas) na deadline mwezi wa 8 tarehe 15,lakin tumepata sitofahamu nacte deadline tarehe 18 mwezi 7 inamaana ijumaa
napenda kujua
1.yeye anapaswa kuaply kupitia nacte au tcu?
2.je na kama wanategemeana mbona tacte wanawahi kufunga application?
3.anaweza kusubili matokeao yake then akaaply tcu ambapo deadline itakuwa bado?
Msaada mwenye kufahamu hili tafadhari

Mdau habari,
tafadhali soma hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Call for Application form 6_2015.pdf kisha soma hapa pia http://www.tcu.go.tz/images/pdf/How to apply NTA6_2015.pdf kwa maelekezo zaidi ya kuomba kupitia NACTE. wenye sifa za Diploma wote wanaomba kupitia NACTE na sio TCU ila baada ya application akishapata chuo jina linapelekwa TCU kwa ajili ya approval na kupelekwa HESLB kama ameomba mkopo.
 
Back
Top Bottom