Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali sana mkuu miez 3 inatoshaSubiri mpaka one year
Mkuu mbona unahasira sanaaMbona ulichelewa sana mkuu. Kawaida hua ni Massa 12 tu. (Sometimes ni vema kua mkweli kwamba unahitaji ushauri na sio kujifanya umetumwa)
Hata sio mbali mkuu watu wanakaa hata two years mpaka mtoto anapoacha kunyonya.Mbali sana mkuu miez 3 inatosha
Kweli we mwifwaNi mipango yenu mkuu.
Mimi miaka mitatu hadi nne ndio poa
Duh!Ni mipango yenu mkuu.
Mimi miaka mitatu hadi nne ndio poa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ni mipango yenu mkuu.
Mimi miaka mitatu hadi nne ndio poa
Kwani umejifungua lini?Wakuu anatakiwa akaa miezi mingapi baada ya kujifungua ili aanze kupewa tena haki yake?