Msaada kuhusu tendo la ndoa baada ya kujifungua

Kwa mfano mwanaume anapofanyiwa tohara siku ya 5 unaweza kula mzigo. Hebu compear na hiyo.
 
Mbona ulichelewa sana mkuu. Kawaida hua ni Massa 12 tu. (Sometimes ni vema kua mkweli kwamba unahitaji ushauri na sio kujifanya umetumwa)
 
Miez 3 naona inatosha kbs kwan mna haraka gan
 
Wakuu anatakiwa akaa miezi mingapi baada ya kujifungua ili aanze kupewa tena haki yake?
 
WIKI SITA tokea alipojifungua unaweza kuanza kutanguliza kichwa ili kuzibua masikio ya mtoto, lakini zingatia na jali afya yake ukiona bado anahisi maumivu au damu na uchafu vinaendelea kutoka subiri usiwe na haraka, ikipita miezi mitatu rukwa kufanya yako mpaka akumbuke ZILIPENDWA@
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…