mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Jun 8, 2015 #1 Wana jukwa hamjambo, Naomba msaada wa kujua ni mda gani sahihi wa kuweka mbolea kwenye matikitimaji baada ya kuota. Asante
Wana jukwa hamjambo, Naomba msaada wa kujua ni mda gani sahihi wa kuweka mbolea kwenye matikitimaji baada ya kuota. Asante
Kisima JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,114 Reaction score 4,486 Jun 8, 2015 #2 Yakiwa na majani matatu anza kupiga booster then yakitambaa weka mbolea ya kukuzia ikiwa hujatia mbolea wakati wa kupanda.
Yakiwa na majani matatu anza kupiga booster then yakitambaa weka mbolea ya kukuzia ikiwa hujatia mbolea wakati wa kupanda.
Humilis JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 889 Reaction score 1,070 Jul 10, 2015 #3 Kisima said: Yakiwa na majani matatu anza kupiga booster then yakitambaa weka mbolea ya kukuzia ikiwa hujatia mbolea wakati wa kupanda. Click to expand... Hivi ni mbolea gani nzuri kwa matikiti maji??
Kisima said: Yakiwa na majani matatu anza kupiga booster then yakitambaa weka mbolea ya kukuzia ikiwa hujatia mbolea wakati wa kupanda. Click to expand... Hivi ni mbolea gani nzuri kwa matikiti maji??
mnyongeni Senior Member Joined Dec 6, 2011 Posts 141 Reaction score 24 Jul 10, 2015 #4 pandia DAP , Mbolea ya kukuzia weka NPK na mara nyingi huwekwa after 2 weeks