Msaada kuhusu Tikitimaji

Msaada kuhusu Tikitimaji

mbuyake

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
293
Reaction score
510
Wana jukwa hamjambo,

Naomba msaada wa kujua ni mda gani sahihi wa kuweka mbolea kwenye matikitimaji baada ya kuota.

Asante
 
Yakiwa na majani matatu anza kupiga booster then yakitambaa weka mbolea ya kukuzia ikiwa hujatia mbolea wakati wa kupanda.
 
Yakiwa na majani matatu anza kupiga booster then yakitambaa weka mbolea ya kukuzia ikiwa hujatia mbolea wakati wa kupanda.

Hivi ni mbolea gani nzuri kwa matikiti maji??
 
pandia DAP , Mbolea ya kukuzia weka NPK na mara nyingi huwekwa after 2 weeks
 
Back
Top Bottom