Siku saba tu ,kwa hiyo hizo zingine alale tu!!!.Haiwezekani siku zote ni kazi tu isipokuwa za mp tu. Na mimba lazima itashika tu kwa sababu siku zote ni kazi tu.Hahhaha sawa mkuu ngoja nimpe taarifa kwa hiyo ni almost siku 7 zote nizakupiga mzigo tuu