Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

Hahhaha sawa mkuu ngoja nimpe taarifa kwa hiyo ni almost siku 7 zote nizakupiga mzigo tuu
Siku saba tu ,kwa hiyo hizo zingine alale tu!!!.Haiwezekani siku zote ni kazi tu isipokuwa za mp tu. Na mimba lazima itashika tu kwa sababu siku zote ni kazi tu.
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Hesabu siku 15 tangu siku ya kwanza ya hedhi yake. So unaweza azia 14, had 20 na kama mzunguko wake ni wa siku 15 mkuu hapa ni ngumu zaid piga hata km yupo bre--di
 
Pia mbupu tu non stop kama wiki mbili hivi mfululizo unamiminia ndani kwa wingi ..au subiria kipind cha mayai kushuka utakuta kibibi kinatoa ute ute kuashiria mayai yapo tayar kurutubishwa sasa unapnda hizo siku kama 5-7 mfululizo yani...ila usimchoshe sana dah...
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
kisandu mwingine huyu?
 
Changamoto hii anayoitafutia majawabu haimuhusu mke wa rafiki yake bali mke wa mtoa mada mwenyewe........... Anajaribu tu kujificha nyuma ya kivuli chake mwenyewe
Anajificha mara mbili.
Kaficha ID yake JF kisha anaficha taarifa zake. Hii itakuwa anajificha mwenyewe teh teh
 
Kwa jinsi unavyokimbia kivuli chako, hata hiyo mimba mtabaki kuisikia kwa majirani tu.
Yani pamoja na Id fake bado unataka kujificha zaidi kwenye matatizo yako. Endelea
fichua mkuu. Na id fake huyo
 
Kazana kumtomba kila siku kila wakati kila mahali we ni mwendo wa kumtomba tu
 
kisandu mwingine huyu?
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
Duh sina cha kuongeza nacheka mwenyewe kama chizi.....!
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
Mkuu inaonekana shughur zako za kila Siku unafanyia kkoo maana si kwa kukalili huku
 
Kuanzia siku atakayomaliza hedhi ahesabu siku saba, akimaliza tarehe 4 basi tarehe 10 mpaka tarehe 16 ni siku za hatari lazima mimba ingie.
 
Kuanzia siku atakayomaliza hedhi ahesabu siku saba, akimaliza tarehe 4 basi tarehe 10 mpaka tarehe 16 ni siku za hatari lazima mimba ingie.
Asante sana kaka
 
Piga mashine kila siku huku ukila Mihogo na karanga mixer vitunguu swaumu na mdalasini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…