0800 750 075- Call Center (Toll free)Habari Wadau wa JF!
Kama nilivyotangulia kuandika hapo juu, naomba kujua kama kuna namna naweza kupata namba yangu ya mlipa kodi.
Ni muda mrefu sikuitumia maana sikuwa na matumizi nayo, nilitafuta kwa ajili ya kupata leseni ya udereva.
Kwa ujumla namba yangu siikumbuki, naomba kujua kama naweza kuipata online au ni lazima niende kwenye ofisi za TRA.
Ahsante kwa msaada wenu.
AnaipatajeHata online unaweza kuipata mkuu
Anaingia hapa anaweka namba ya simu na namba yake ya nidaAnaipataje
Sawa mkuu.. shukrani kwa niabaAnaingia hapa anaweka namba ya simu na namba yake ya nida