Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Type mrejesho kaka.Asante kwa ushaurj mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Type mrejesho kaka.Asante kwa ushaurj mkuu
Gari yoyote kutetemeka baada ya kuwashwa ni engine mounting zinakua zimekatika, hata kama ni VX V8 ikikatika mounting utaiona inatetemekaJiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu.
Ushakariri... Kila uzi wa Passo umekomalia kuandika sentensi hiyohiyo.Jiandae kisaikolojia mkuu,hako kagari"passo" ukikawasha hua kanatetemeka balaa mpk unasikia mwili wote unawasha ila kakishaanza kuondoka ile kutetemeka inaisha mkuu.
Ulinunua?Asante kwa ushauri wako...lakini naomba sababu tafadhali
Ulinunua?
Huyu jamaa sijui tumpe tuzo-mzee wa kutetemekaUshakariri... Kila uzi wa Passo umekomalia kuandika sentensi hiyohiyo.
Mwendo tena?hata kirikuu haifanani na bajaji.Ss utofauti uko wapi mwendo sawa uimara bajaj kazidi wote wana tyre nne bila bajaj moja kaamua kuibeba.