Msaada kuhusu transfer TCU

Msaada kuhusu transfer TCU

Mwenye hbar za majibu ya transfer za St.Joseph-Songea..naomba nijuze
 
kama umeomba transfer tembelea website ya chuo ulichoomba utakuta jina lako,mfano muhimbili washatoa
 
Jamani mimi kesi yangu sikuomba transfer lakini nimehamishiwa mwenge kutoka st. Joseph songea,sielewi nifanyaje hapa wadau
 
Back
Top Bottom