MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
- Thread starter
- #21
Mkuu,
Gri ipo majini na BL hauna?? Hii sio sawa, labda kama hilogari unalisafirisha kirafiki zaidi kuliko kiofisi.
Unajua inakuja na meli gani?
Na sasa ukitaka kujua iko wapi na pengine Bongo itafika lini unafanyaje?
Mkuu wangu next time usiruhusu hii kitu, kama Gari ishapakia means BL ishatoka.
Duh! Kumbe ndiyo huwa inakuwa hivyo? Kumbe inamaan abado hawajalipakia bado wananipiga zengwe tu eenh? Ni hawa jamaa wa Beforward, kumbe wanalongo longo sana. Akhsante mkuu kwa kunifahamisha hili ngoja niwawakie sasa hivi.