MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
- Thread starter
-
- #21
Mkuu,
Gri ipo majini na BL hauna?? Hii sio sawa, labda kama hilogari unalisafirisha kirafiki zaidi kuliko kiofisi.
Unajua inakuja na meli gani?
Na sasa ukitaka kujua iko wapi na pengine Bongo itafika lini unafanyaje?
Mkuu wangu next time usiruhusu hii kitu, kama Gari ishapakia means BL ishatoka.
Duh! Kumbe ndiyo huwa inakuwa hivyo? Kumbe inamaan abado hawajalipakia bado wananipiga zengwe tu eenh? Ni hawa jamaa wa Beforward, kumbe wanalongo longo sana. Akhsante mkuu kwa kunifahamisha hili ngoja niwawakie sasa hivi.

Nijibu kwanza?
1. Umenunua gari beforward kweli? Kama ndio, ebu paste hapa account yao uliyolipia hela.
2. Kama ni beforward, je wamekutumia database yao inayoitwa CAP kwenye email yako?
3. DHL/EMS address ya kutuma documents uliyowapa ni ya kwako mwenyewe?
Tafadhali nijibu.
Itakua hawajalipakia, maana gari kutoka Japan mpaka DSM ni siku 21-23 tu, haizidi hapo labda kuwe na a very exceptional cases.
Ila one fact ni kua ukilipia leo basi haina maana watalipakia leo leo, mpaka wafanye booking ya Meli ya karibu iliyo na nafasi ila sio issue ya kuchukua muda mrefu hivyo.
Waambie wakuambie kama lishapakiwa na liko majini tayari basi ni meli gani, imetoka japan lini na inategemea kufika DSM lini uwasikie wanasemaje!!
Nijibu kwanza?
1. Umenunua gari beforward kweli? Kama ndio, ebu paste hapa account yao uliyolipia hela.
2. Kama ni beforward, je wamekutumia database yao inayoitwa CAP kwenye email yako?
3. DHL/EMS address ya kutuma documents uliyowapa ni ya kwako mwenyewe?
Tafadhali nijibu.
Mkuu suala la lini litafika Dar es salaam nawauliza kila mara, lakini wanalikwepa swali. Hata kuhusu B/L wameniambia kuwa wanaoitoa siyo wao bali ni kampuni inayohusika na usafirishaji wa mzigo huo. Nawasiliana nao kwa email huko huko Japan labda kwasasa niwapigie simu kabisa ndiyo watanijibu.Na mimi nashangaa kwanini kusafirisha tu ichukue muda mrefu kiasi hicho utafikiri gari inatokea mbinguni?
BANK NAME : SUMITOMO MITSUI BANKING CORPORATION
SWIFT CODE : SMBCJPJT
BRANCH NAME : WEBSITE BRANCH by SWIFT directly(BRANCH CODE:988)
BRANCH ADDRESS : 1-37-12 FUDA CHOFU-SHI TOKYO 182-0024 JAPAN
ACCOUNT NUMBER :988-5000013
ACCOUNT NAME : BE FORWARD CO.,LTD.
Database ya CAP ninayo ndiyo mkuu, na so far wame-upload document moja tu inaitwa EXPORT CERTIFICATE. Mind you kwasasa inakaribia mwezi tangu niwalipe na wiki kama tatu hivi na ushee tangu wa-confirm kupokea malipo hayo.
Ni kweli BL wanatoa wenye meli, lakini sasa wao wana ushahidi wa documents kama gari imepakiwa?