Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

GIANT90

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
46
Reaction score
24
Habari wadau wa JF?

UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students.

Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow.

Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM.

Ahsante.
 
Kwa nini wasomi tunapenda hearsay?? Kwa nini utafute majibu humu wakati wahusika wa hostel wenyewe wapo??

Fuata njia sahihi kupata majibu.
Kwanini asiende hapo hostel akauliza wahusika? Usomi Gani huu usiokuwa na uelewa? Kama anaishi Mabibo hostel maana yake anapita Kijazi interchange Kila akienda udsm,ni umbali Gani toka kijaz inter.hadi hostel za Ubungo.Haya siku hizi Kuna simu ,hata hiyo kashindwa? Elimu Gani hii ya kipumbavu!
 
Mimi nimemshangaa. BTW unaweza kuta hata sio mwanafunzi bali ni mchangamsha genge tu
 
Mpeni majibu, sio kumshambulia tu bila hoja za msingi, humu ni rahisi kupata jibu kuliko huko mnakosema,,, yawezekana mleta mada hajawahi kusomo udsm, na sio mwenyeji wa jiji hilo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Procedures to Follow

1. Press *150*03# (Crdb/ Sim Banking)
2.Select "Send Money"
3. Enter My Account number
4.Choose amount to send
5. Enter your password

Here you w'll be transfered from one hostel to another (that you wish to settle)
 
Sipo Dar, kuna kijana anategemea kwenda kuanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…