Msaada kuhusu Ubuntu ndugu zangu

Msaada kuhusu Ubuntu ndugu zangu

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
453
Reaction score
175
Kama kichwa cha habari hapo juu.

Ndugu zangu nimesakinisha Ubuntu 22.04 kwenye HP Elitebook Folio 1040.

Nimefanikiwa mpaka mwisho lakini nikizima kuwasha tena inakataa.

Nimejaribu kupita Google lakini sijaambulia kitu.

Naomba mwenye ufahamu anielekeze namna ya kutatua tatizo hili.

Natanguliza shukran.
 
Jaribu kudisable secure boot kwenye bios au ukiwa unainstall ikimaliza usitoe flash mpaka iboot ikiwa ndani ya os
 
Back
Top Bottom