MSAADA: kuhusu ufugaji wa samaki

MSAADA: kuhusu ufugaji wa samaki

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
heshima kwenu wadau
kama heading inavyojieleza,nahitaji kufanya ujasiliamili huo tajwa. anaejua kuhusu mahitaji,hatua na taratibu za kufuata atuelimishe ili tuanze kujiajiri mapema maana huu msoto wa mtaani ni majanga.
Natanguliza shukrani
 
Samaki gani mkuu wa mapambo au kitoweo?
 
Samaki gani mkuu wa mapambo au kitoweo?

samaki kitoweo. namaanisha nataka kuchimba bwawa kwahiyo nataka nijue mahitaji,hatua na utaratibu wa kufanikisha azma yangu
 
nina sato mkuu wa mbegu ukijenga tuwasiliane nina mtaalamu mmoja nitakuunganisha nae ni pm
 
Kweli kbs na mm nipo interested sana na ufugaji huu na mm nasubiria info kutoka kwa wadau hapa
 
Nenda JKT wana wataalam wa hiyo kitu au chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo.Au tembelea wale jamaa wanaofuga pale Miembe saba Kibaha Kongowe.
 
Nenda JKT wana wataalam wa hiyo kitu au chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo.Au tembelea wale jamaa wanaofuga pale Miembe saba Kibaha Kongowe.

Mradi wangu nataka niufanyie mwanza,vp ntaweza kuupata msaada wapi?
 
Tafuta kwenye mitandao hata humu jf niliwahi kuona hayo maelekezo kwenye jukwaa la uchumi hebu jitahidi kidogo.
 
Nawombeni wote wana JF kuwa makini na watu wengine ndani ya jamii forum ambao hudai kuwa na ujuzi ambao hawana. Tafadhalini kama kitu hauna ujuzi nacho usiwashauri watu kisichochema. Naitwa Lipoiye Abdul ni mtaalam wa samaki nilosomea toka chuo cha mbegani bagamoyo na napatikana Dar-es-salaam. Kwa msaada zaidi juu ya ufugaji samaki tuendelee kuwasiliana jf ama nitafute 0658-530-884. Niko nyumbani kwa sasa hivyo pia anaehitaji mtaalam wa samaki mwenye ujuzi na uzoefu tafadhali naomba anitafute tutasaidiana. have a nice day.
 
Back
Top Bottom