Msaada kuhusu ufunguaji wa Company Group, e.g IPP Media Group

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari wakuu, naomba tusaidiane ni jinsi gani ya kufungua Kampuni ambayo itakuwa na vikampuni vidogo dogo ndani yake kama ilivyo Bakhersa Company Group, ndani ina Azam TV, Azam FC, Azam Marine na vingine.

Na pia ni nini faida zake na hasara zake
 
Mimi sijui kwa kweli ila nahisi zinafaida nyingi kuliko hasara hasa ukizingatia kuwa kampuni ndogo ndogo hazitasajiliwa tena.
 
Back
Top Bottom