capitalcity
Member
- Sep 9, 2017
- 40
- 35
Shukrani Ndugu kwa maelezo na inatakiwa kutumiwa kwa kipindi cha muda gani..?Umetumia madawa mengi ya hospital na asili lkn bado.
Embu kajaribu hii home remedy .
Chukua Bamia mbili au tatu , zioshe then zikate mkia na kichwa , alafu chukua glass ya maji ziweke kisha zifunike , asubuh ukiamka kunywa hayo maji yake.
Alafu andaa tena zakushinda utakazokunywa usiku kabla ya kula !!.
So doz yet iwe asub glass moja usiku glass moja.
Sharit bamia zikae kwa hayo maji for 9-12 hrs!!
Naamin utakuja kutoa maendeleo !!.
Pole sana !!.
Hii ndugu sio kama INA muda malumu , siunajua hizi home remedy tunazigeuzaga km sehem yetu.Shukrani Ndugu kwa maelezo na inatakiwa kutumiwa kwa kipindi cha muda gani..?
Huu ugonjwa sio mzuri hata kidogo, sijajua kama ni yakurithi maana wazazi hawana kabisa ila bibi mzaa baba ndo alikuwa nayo, wakati niko mdogo ilikuwa inanitesa sana nilikuwa nachomwa sana sindano ila angalau nlipokuwa mkubwa kiasi sindano nikaachana nazo na nikawa natumia dawa za kawaida za kuzuia attacks (aminophiline na salbutamol) na nikapewaga INHALER lakini nikaja achana nayo pia kwani nilishauriwa sio nzuri ikizoea mwili. Pia huwa hainaga msimu jua linaweza kuwa kali na ukaumwa na unaeza kaa kwenye baridi hata mwezi na nisiumwe kabisa, last time niliambiwa na doctor kuwa nina allergy na vitu vyenye harufu kali (nyembamba ikiwemo vumbi) so, hizi perfume, body spray na sabuni zenye harufu huwa sizitumii kabisa na baaadhi ya vyakula kama samaki (mfano. kamba). Sijajua hii ya kwangu iko kwenye stage gani kwani ninaweza kaa hadi miezi 2-3 sijaumwa na dawa kubwa ninazotumia ni hizo aminophiline na salbutamol na amoxiline pia zikiambatana na dawa za dukani za maji ambazo ni herbal. shughuli zingine nafanya bila tatizo, nacheza mpira japo sio sana na mazoez madogo madogo nafanya bila shidaVyanzo vya ugonjwa wa pumu inawezekana umerithi kwa wazazi genes ( internal factors)au una allergy na pollution au mbwa na paka (external factors).
Pumu inaweza kuwa controlled hasa ukizingatia matumizi ya dawa pia ukifahamu factor ya pumu zako.
Pump isipokuwa controlled inasababisha Chronic Obstruction Pulmonary Disease hii condition haiponi na unakuwa na matatizo ya kupumua, mwili una retain carbon monoxide kwakweli ni ugonjwa mmbaya ingawa unakuwa controlled na dawa
Aisee nashukuru sana ndugu nitafuatilia na kuangalia maendeleo bila kusahau mrejesho pia.Hii ndugu sio kama INA muda malumu , siunajua hizi home remedy tunazigeuzaga km sehem yetu.
Naomba uitumie Utakapoona sasa uko fiti ,utaiacha,, hakika inafanya kazi na Mungu atakusaidia .
Embu ifanye kua ndo km maji yako/au juice ,ila tumia asubuh na usiku.
Zile tabu za mara kwa Mara zitakata Mara moja , na unavyotumiaaa zaidi ndo inasaidia kuondoa tatizo !.
So tumia ,then utakua unani PM maendeleo Ndugu.
Yaap Fanya ivo kwanza ,tuanze kukata tabu za Mara kwa Mara tuendeleee then tatizo likome.Aisee nashukuru sana ndugu nitafuatilia na kuangalia maendeleo bila kusahau mrejesho pia.
Nimekuelewa Vyema Ndugu, mapema nitaanza kutumia hii dawa naamini itanisaidia pia.Kwa glass saizi nazile zazaman za chuma tumia bamia tatu . ili tupate mchanganyiko mzur.,, ukishatia ,funika ,weka hata chini ya uvungu ziache zitulie...ukiamka , kunywa yale maji yake zenyewe utatupa.
Mimi sina PUMU ila bamia nazitafunaga sana ivo ivo mbichi au kama ivo ,, bamia nidawa yamagonjwa mengi sana ikiwemo PUMU.
Naamini itakusaidia pia.Nimekuelewa Vyema Ndugu, mapema nitaanza kutumia hii dawa naamini itanisaidia pia.
Be Blessed Ndugu..!Naamini itakusaidia pia.
Mwenyezi Mungu atalisimamia ilo.
Uwe na siku njema !!.
Ngoja tuwasuburi nao piaNgoja madaktari wa miti shamba waje kukuongezea orodha ya tiba mbadala
Ngoja nifanye kumwambia sister atumie hiyo kitu maana inamtesa mpaka inafika wakati unamuonea huruma....[emoji20] [emoji20]Umetumia madawa mengi ya hospital na asili lkn bado.
Embu kajaribu hii home remedy .
Chukua Bamia mbili au tatu , zioshe then zikate mkia na kichwa , alafu chukua glass ya maji ziweke kisha zifunike , asubuh ukiamka kunywa hayo maji yake.
Alafu andaa tena zakushinda utakazokunywa usiku kabla ya kula !!.
So doz yet iwe asub glass moja usiku glass moja.
Sharit bamia zikae kwa hayo maji for 9-12 hrs!!
Naamin utakuja kutoa maendeleo !!.
Pole sana !!.
I can feel the pain mzee kama hatojali ajaribu pia inaweza msaidia, pumu sio nzuri hata kidogoNgoja nifanye kumwambia sister atumie hiyo kitu maana inamtesa mpaka inafika wakati unamuonea huruma....[emoji20] [emoji20]
Tena ngoja nimpigie simu kabisa nahisi yake ni chronic kikimbana sana huwa anapumua kwa shida sana anaishia kutoa mlio kama mluzi wakati wa kupumua....I can feel the pain mzee kama hatojali ajaribu pia inaweza msaidia, pumu sio nzuri hata kidogo
Daah pole sana mkuu na pole kwa Dada !!.Ngoja nifanye kumwambia sister atumie hiyo kitu maana inamtesa mpaka inafika wakati unamuonea huruma....[emoji20] [emoji20]