Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

Daah pole sana mkuu na pole kwa Dada !!.

Embu naomba usiishie kumwambia ,hakikisha anaanza kutumia !!

Jitahidi sana ,haya masindano hayafai yanawapa unafuu wamuda mfupi mfupi.. .mwambie ajitahidi aanze , ili kukata tabu zake zamara kwa Mara , alafu pia bamia kwa Wanawake NIMUHIMU KTK MAMBO MENGI SAN.

so itakua inamsaidia ktk PUMU simultaneously inamsaidia mambo mengine mwilin..

Nirahis,, haina garama ,haina maumivu , na Inaokoa ,taratib taratibu anajikuta kapona !! Naikiwezekana Asiache kutumia hii kitu .
Mimekuelewa vyema kabisa mkuu ubarikiwe sana....
 
Vyanzo vya ugonjwa wa pumu inawezekana umerithi kwa wazazi genes ( internal factors)au una allergy na pollution ya maua vumbi au mbwa na paka (external factors).

Pumu inaweza kuwa controlled hasa ukizingatia matumizi ya dawa pia ukifahamu factor ya pumu zako.

Pump isipokuwa controlled inasababisha Chronic Obstruction Pulmonary Disease hii condition haiponi na unakuwa na matatizo ya kupumua, mwili una retain carbon monoxide kwakweli ni ugonjwa mmbaya ingawa unakuwa controlled na dawa

Asante sana Daktari kwa majibu haya mazuri.
 
Na imani hiyo mzee [emoji120] [emoji120] [emoji120]
AMENI , LABDA NIKUELEWESHE KITU !!

[emoji117] [emoji117] KWANN BAMIA ......???
Bamia ni mbogamajani ambayo ina utajiri mwingi wa Vitamin C na Antioxidants nyingi ,, sasa ivi kwa pamoja huzuia kutokea kwa Pumu +kuzuia mashambulizi ya Pumu.
 
Kwani zikipikwa zinapoteza hizo vit C
 
Mi nimekunywa hayo madawa ya miti shamba mengi yanakupa nafuu ya muda kama ya hospitali.

Nenda kwa madaktari bingwa wa mapafu watakusaidia.
Nenda upimwe uwezo wako wa kupumua kawaida. Na baadaye watakushauri utumie dawa zipi kwa utaratibu mzuri.
 
Kwani zikipikwa zinapoteza hizo vit C
Aaahhh moja ya sababu kubwa inayofanya deformation ya structure ni Joto. Kutumia bamia zilizopikwa utendaji wake nihafifu .

Ndo maana hata vitunguu vinakua tiba ikiwa utakitafuna kibichi.
 
Mi nimekunywa hayo madawa ya miti shamba mengi yanakupa nafuu ya muda kama ya hospitali.

Nenda kwa madaktari bingwa wa mapafu watakusaidia.
Nenda upimwe uwezo wako wa kupumua kawaida. Na baadaye watakushauri utumie dawa zipi kwa utaratibu mzuri.
Binafsi huko hospitali nimeshazunguka pia, kunakipindi nilipimwa vipimo kadhaa na kupewa dozi ya kipindi kirefu ila dozi ilipoisha baada ya muda flan mashambulizi yakawa yanarudi taratibu.
 
Binafsi huko hospitali nimeshazunguka pia, kunakipindi nilipimwa vipimo kadhaa na kupewa dozi ya kipindi kirefu ila dozi ilipoisha baada ya muda flan mashambulizi yakawa yanarudi taratibu.
Hizo dozi walizokupa ndo zinakusaidia na hutakiwi kuacha.
 
I

Inamaana ni dozi ya maisha sasa haina mwisho
Pumu haina tiba ya kudumu ukapona kabisa. Labda kwa mitishamba ambayo bado kuna watu hata baada ya kutumia hawaponi.

Ulivyosema unatumia aminophyline na salbutamol na uliacha inhaler nikajua hauna watu sahihi wanaokutaarifu.

Ndio maana nikakueleza fanya utaratibu uwaone madaktari bingwa wa mapafu ufanyiwe vipimo sahihi na upewe dawa kutokana na hali yako.

Kwa mfano mimi niko kwenye mazingira ambayo naweza kupata attack mara nyingi lakini nimepewa dawa ambazo zimepunguza sana hizo attack ingawaje nikiwa kwenye mazingira mengine naweza kuwa sawa bila hata dawa.
 
Nadhani utumiaji wa dawa flani hasa za hospitali inategemea na condition au stage ya Pumu iko kwa kiasi gani, mf. sindano na hizo inhaler zinatumika mara nyingi na watu walio na critical conditions sasa nadhani nilivyoambiwa kuacha kutumia hivyo kwa namna moja au nyingine ilionekana kwa condition yangu ntakuwa natumia dozi kubwa sana kuliko ukubwa wa tatizo. Hiyo ni kwa vile ninavyojua
 
Sawasawa.

Kuna inhaler za attack na inhaler za matumizi ya kila siku.

Aminophyline haishauriwi kutumika mara kwa mara.

Viko na vidonge vingi ambavyo pengine huvawahi hata kusikia.

Wakikupima lung test na wakisikia maelezo ya unapata attack mara ngapi kwa wiki/mwezi/mwaka ndo wanakupangia dawa za kutumia kawaida na za kutumia unapopata attack.
 
Hapo nimekupata mkuu, pia itabidi nirudi kwa wataalam kufanya vipimo zaidi ili nijue kwa sasa niko stage gani
 
Hapo nimekupata mkuu, pia itabidi nirudi kwa wataalam kufanya vipimo zaidi ili nijue kwa sasa niko stage gani
Kila la heri. Kumbuka hivyo vipimo vipo hospitali chache za binafsi kubwa kubwa na za serikali najua Muhimbili zipo. Gharama kuanzia laki
 
Loweka karafuu punje kama 12 kwenye glas asubui kunywa fanya hivyo kwa 2weeks
 
Huu ugonjwa sio mzuri hata kidogo, sijajua kama ni yakurithi maana wazazi hawana kabisa ila bibi mzaa baba ndo alikuwa nayo, wakati niko mdogo ilikuwa inanitesa sana nilikuwa nachomwa sana sindano ila angalau nlipokuwa mkubwa kiasi sindano nikaachana nazo na nikawa natumia dawa za kawaida za kuzuia attacks (aminophiline na salbutamol) na nikapewaga INHALER lakini nikaja achana nayo pia kwani nilishauriwa sio nzuri ikizoea mwili. Pia huwa hainaga msimu jua linaweza kuwa kali na ukaumwa na unaeza kaa kwenye baridi hata mwezi na nisiumwe kabisa, last time niliambiwa na doctor kuwa nina allergy na vitu vyenye harufu kali (nyembamba ikiwemo vumbi) so, hizi perfume, body spray na sabuni zenye harufu huwa sizitumii kabisa na baaadhi ya vyakula kama samaki (mfano. kamba). Sijajua hii ya kwangu iko kwenye stage gani kwani ninaweza kaa hadi miezi 2-3 sijaumwa na dawa kubwa ninazotumia ni hizo aminophiline na salbutamol na amoxiline pia zikiambatana na dawa za dukani za maji ambazo ni herbal. shughuli zingine nafanya bila tatizo, nacheza mpira japo sio sana na mazoez madogo madogo nafanya bila shida
Pumu ni mzio....unapaswa ujue ni aalergens gani zina trigger attack...na mara nyingi huanza polepole na sio ghafla. Ukiona umebanwa ujue ilshaanza taratibu. DALILI zake mara kwa mara ni mafua,kupaliwa paliwa na irritating coughs.

Nenda THE PHARMACY pale karibu na hindu mandal hospital au ile branch yao Mkapa towers opozit posta mpya...kanunue nebulizing compressor(Handy Neb) then ununue dawa zake za kufukizia kama wanazotoa hospital kwenye mashine ya gas ukutani...itakusaidia sana
Hizo dozi walizokupa ndo zinakusaidia na hutakiwi kuacha.
 
Hii ndugu sio kama INA muda malumu , siunajua hizi home remedy tunazigeuzaga km sehem yetu.

Naomba uitumie Utakapoona sasa uko fiti ,utaiacha,, hakika inafanya kazi na Mungu atakusaidia .

Embu ifanye kua ndo km maji yako/au juice ,ila tumia asubuh na usiku.

Zile tabu za mara kwa Mara zitakata Mara moja , na unavyotumiaaa zaidi ndo inasaidia kuondoa tatizo !.

So tumia ,then utakua unani PM maendeleo Ndugu.
Mimi nilipoambiwa vituu swaumu vinasaidia kumaliza tatizo hili niliamua kuvigeuza siyo dawa Bali chakula,nakula vitunguu vya kukatakata kila usiku ktk maisha yangu maana niliona wakati Fulani nilianza kuona dalili hasa baada ya stress kunizidi,
Trust me tatizo limepotea kabisa japo bado naendelea kutumia na nimezoea kabisa,kiiiila siku kabla ya kulala
 
Back
Top Bottom