kama thread aliotoa EWGMs. somehow ni realistic maana mimi nimejenga nyumba ya 4 rooms, sebule, dining kwa around 42million na haikuisha bado.
mkuu kwa pesa hiyo utatoa kitu cha ukweli,kama upo dar ndo kabisa,kama una muda simamia mwenyewe jino kwa jino na mafundi.
DUU mkuu nakushukuru sana kwa ushauri wako. Mwanzo niliogopa nikidhani hazitatosha. Ngoja nianze mchakato. Mungu akubariki sana kwa kutokuwa mchoyo wa mawazo.yani inatosha kabsa 40m 4bedroom 2zikiwa self..plus jko..publc toilet..sittng&dining room kwa dar kikubwa usjenge kwa smu kaa na fund muandke lst ya material na garama zifke ste mpatane apge mzigo make sure kila wiki unafka ste au wfe au mzazi na ndugu unayemwaamin asije akajoin kund la mafund ukaibiwa...nawasilisha 10m unaifanya emergecy
inategemea upo mkoa gani mkuu!
Members nina kiasi cha Tshs.milioni hamsini je ninaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne ikaisha? Naomba ushauri kutoka kwa wale ambao wameshajenga nyumba. Na kama hujajenga basi unafahamu usisite kunielewesha.
Nawashukuru sana.
Hiyo hela itategemea vitu vifatavyo
- Je una kiwanja? Kiwanja kiko wapi?
- Terrain ya kiwanja ie kiko flat au kwenye milima milima
- Infrastructure na utilities present